Quantcast
Channel: Kenya / Africa Jobs.
Viewing all articles
Browse latest Browse all 23502

Mkufunzi Mifugo Daraja la II (Livestock Tutor II)

$
0
0
2. Mkufunzi Mifugo Daraja la II (Livestock Tutor II) Nafasi 1 (a) Sifa za waombaji Waombaji wawe wamehitimu Shahada ya Sayansi ya Mifugo au Elimu, Mafunzo na Ugani kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. (b) Majukumu Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo. Kuandaa mtiririko wa kila somo (lesson plan) kwa upande wa nadharia na vitendo. Kufundisha kozi za stashahada na astashahada kwa upande wa nadharia na vitendo. Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa kujifunza. Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote kinachohusika na kutunza alama zao. Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na maofisa mifugo wa wilaya, viwandani wakati wa mafunzo kwa vitendo...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 23502

Trending Articles